Mwanzo

Kutoka Oil4All
Rukia: urambazaji, tafuta
Karibu kwenye Almanaki (mkusanyo wa taarifa) kuhusu Mafuta na Gesi Tanzania - chanzo cha rejea cha kwanza cha wazi kwa lugha ya Kiswahili kuhusu shughuli za uchimbaji maliasilia.The Oil and Gas Almanac for Tanzania in EnglishHili ni chapisho hai ambalo litaendelea kutanuka kwa vile makala zinawekwa na wachangiaji ndani ya Tanzania. Kama una maoni, ushauri au mapendekezo, tafadhali tuma barua pepe kwenye anuani hii: wiki.festanzania(at)gmail.com.

Hii Almanaki imetengenezwa na OpenOil, taasisi ya uchunguzi na sera ya nishati iliyoko Berlin, Ujerumani kwa kushirikiana na Shirika la Kijerumani la FES Tanzania. Tembelea tovuti yetu kufahamu zaidi kuhusu sisi, pamoja na:

Historia ya Sekta ya Nishati

Historia na Muktadha

Mfumo wa Udhibiti

Athari za Kisiasa, Kijamii na Kimazingira

Taasisi za Kiserikali

Kampuni za Kimataifa za Mafuta na Gesi

Maeneo ya Uzalishaji wa Mafuta na Gesi

Miundombinu ya Msingi

Fursa za Uwazi katika Rasilimali

Ajira na Fursa kwa Wazawa

Sura ya Afrika Mashariki

Exploration Activity